Ulinzi wa Amani au Uvunjaji wa Haki za Binadamu?
Sepetuko
Jun. 26, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Tukio la vijana waliokuwa wakiandamana kuingia katika majengo ya Bunge kamwe sio la kushabikiwa. Hata hivyo, tukio hilo na mengine ya waandamanaji kuharibu mali ya umma na kibinafsi hayatoi sababu tosha kwa maafisa wa usalama kuwafyatulia risasi na kuwaua waandamanaji. Hayatoi sababu kwa Rais kuwaita Wakenya kuwa wahalifu na wahaini.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode
Sauti ya Vijana Haipuuzwi Tena
Maandamano yanayoendelezwa dhidi ya Mswada wa Fedha wa mwaka wa 2024 ni ukumbusho kwa serikali kuhus...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!