Matatizo ya serikali yanatokana na Rais asiyeaminika
Sepetuko
Jul. 01, 2024
Sehemu kubwa ya matatizo yanayokumba serikali hii ni Wakenya kukosa imani kwake kutokana na kuwapo Rais asiyependa ukweli. Rais ambaye hadi leo amekwama katika uongo wa kuwatetea maafisa wa usalama waliohusika katika ukatili dhidi ya waandamanaji. Rais anayesema hili, kisha naye anafanya jingine. Ni hadi Rais Ruto amaanishe ayasemayo, afanye anayosema na ajifundishe kusema ukweli ndipo hali hii ya sasa itaimarika.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Ruto na Maandamano: Sauti za Wapinzani wa Mswada wa Fedha
Katika kipindi hiki cha kwanza cha "Kio Cha Habari," Mike Nyagwoka, Esther Kirong, na Dalmus Sakali ...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!