Siasa; Uchaguzi Machakos

Siasa
Jan. 15, 2021

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Uchaguzi mdogo wa useneta wa Machakos umekaribia na vyama vya kisiasa tayari vimekamilisha kuwateua watakaopeperusha bendera zao katika uchaguzi huo utakaofanyika tarehe kumi na nane mwezi Machi. Chama cha UDA kikiongozwa na wandani wa Naibu wa Rais, William Ruto kimemteua Urbanas Muthama Ngengele, Wiper imemteua Agnes Kavindu Muthama, Maendeleo Chap Chap John Mutua Katuku huku chama cha GDDP kikimeamteua Simon Kitheka. Mwanahabari wa Kaunti ya Machakos Rose Mukonyo amezungumza na baadhi ya wakazi wa kaunti hiyo kupata maoni kuhusu walioteuliwa na vyama kumrithi aliyekuwa Seneta Boniface Kabaka ambaye alifariki dunia.

Share this episode
Ruto's first day in office
President William Ruto has approved and sworn in 6 judges rejected by immediate former President Uhu...
The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...
.
RECOMMENDED NEWS