Episode 1- Kilimo cha Nazi
Kilimo
Jan. 26, 2021
Katika sehemu hii ya kwanza tutaangazia, aina ya megu za nazi , jinsi ya kuandaa mbegu za mnazi, upanzi wake vilevile utunzaji wa mnazi pale shambani hadi kuvuna bidhaa mbalimbali za mnazi zikiwamo madafu, nazi, Makuti, vifuvu vya nazi na kadhalika. Pia tutaangazia aina ya mchanga ambao mnazi hufanya vizuri zaidi, kumbuka ipo dhana kwamba mnazi hufanya vizuri katika Eneo la Pwani pekee. Nimemshirikisha mtaalamu vilevile mkulima wa Mnazi katika Eneo la Pwani Bwana Emmanuel Masha kutoka Eneo la Palakumi, katika Eneo Bunge la Ganze Kaunti ya Kilifi.
RELATED EPISODES
Mateso ya Wakenya Saudia; serikali iingilie | Sepetuko
Kwa miaka mingi, Wakenya wanaokwenda Uarabuni, hasa Saudi Arabia kwa kazi za nyumbani wamekuwa wakit...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!