Sakata ya mbolea ghushi: Kesi ya Waziri Mithika Linturi
Published May. 09, 2024
00:00
00:00

Wabunge wana nafasi ya kuwadhihirishia Wakenya kuwa yao ni taasisi huru katika hoja ya kumbandua Waziri wa Kilimo Mithika Linturi iliyoko mbele yake. Hii ni fursa ya kuubaini ukweli na kutoa uamuzi wa haki kwa Linturi, lakini zaidi kwa Wakenya ambao huenda wakadhurika kutokana na wakulima kuuziwa mbolea ghushi.