Maandamano ya Amani: Kulinda Haki za Wananchi wa Kenya na Katiba
Published Jun. 21, 2024
00:00
00:00

Kuandamana ni haki ya wananchi wa Kenya, na inalinda na Katiba ya sasa ya nchi. Bora tu maandamano haya yafanywe kwa amani bila kuvuruga usalama. Hatua ya maafisa wa usalama kuwakabili waandamanaji wanaoandamana kwa amani ni uvunjaji wa sheria.