Baa la njaa; tupande mimea aina-aina | Sepetuko Podcast
Published Oct. 14, 2022
00:00
00:00

Baa la njaa limekuwa likizua kero kwa miaka mingi nchini Kenya. Ipo haja ya kutegemea mimea mbalimbali ya chakula - si mahindi pekee.