Haya ni makala maalum kuhusu uhifadhi wa ikolojia ya Ziwa Challa, lililo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, karibu na mji wa Taveta, kutoka Kenya. Wakazi wa eneo hilo wameungana kuweka mikakati ya kufufua hali asilia ya ziwa na msitu wa Challa, ili kurejesha hali ya anga ya kitambo. Mwandishi wetu Steve Mokaya alitembelea eneo hilo na kuandaa makala ifuatayo