Katika msururu wa leo wa Kulikoni Podcast, tunamwangazia Simon Okelo, mkurugenzi wa Tamasha za Madaraka Festival, zinazofanyika nchini Marekani, kwa lengo la kuwaleta Wakenya na Waafrika pamoja. Prof David Monda alizungumza naye Okelo na kutuletea kipindi hiki. Karibu sana!