Mstakabali wa lugha ya Kiswahili Afrika na ulimwenguni; Kulikoni Podcast
Published Jul. 18, 2023
00:00
00:00

Karibu kwenye podikasti ya Kulikoni! Leo, tunaangazia maadhimisho ya Swahili Day. Prof David Monda anazungumza na mwanabiashara nguli Bi Rehema Majollo, mkurugenzi mkuu wa Habari Academy. Pia kunao wazazi wawili walio na watoto wanaojifunza Kiswahili, Bi. Bisonga na Bi. Karibuni!