Kijiji Cha Walemavu | Kisa Changu Podcast

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Kijijini Namawanga, kilichoko eneo la Busunu Kaunti ya Bungoma kuna takriban familia 27 hivi. Kisicho kawaida ni kwamba katika kila familia kuna angalau mtoto mmto mwenye ulemavu. Wapo waliozaliwa wakiwa na matatizo kuona, kuna wengine waliozaliwa bila viungo vya mwili kama vile miguu na mikono na wengine wana wanaugua ugonjwa wa seli mundu yaani sickle cell. Duncan Waswa amefika katika kijiji hicho na kuzungumza na baadhi ya wanakijiji. Haya hapa masimulizi yao ya kuvunja moyo.

Share this episode
Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati...
The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...
.
RECOMMENDED NEWS