Familia zatafuta wapendwa wao, Kilifi | Kisa Changu Podcast
Kisa Changu
Nov. 06, 2022
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa familia mbili kwenye eneo la Likoni katika Kaunti ya Mombasa zinaendelea kuhangaika kuwatafuta wapendwa wao ambao wanaaminika kuchukuliwa kwa nguvu na maafisa wa Idara ya Usalama. Tumesema na familia ya Bakari Mwanyota mwenye umri wa miaka 38 wa Mtaa wa Consolata na familia ya Tunu Said mwenye umri wa miaka 55. Familia hizo mbili zinasema wapendwa wao walichukuliwa kwa nguvu mwezi Februari na Julai, 2021 na hadi sasa hawajui waliko. Robert Menza amezungumza na familia za wawili hao katika makala haya ya Kisa Changu Podcast.
RELATED EPISODES
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Uteuzi wa Makatibu Wazua Tumbojoto, Raila akitaka Waluke Kuachiliwa | Siasa na Gumzo Podcast
Uteuzi wa makatibu umezua mjadala, wana-Azimio wakilalamika kwamba Rift Valley na Mt.Kenya zimepende...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!