Huduma Mbovu Mama Lucy Hospital | Podcast
General Podcasts
Oct. 16, 2022
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Hospitali ya Mama Lucy, Nairobi ni kitovu cha huduma duni za afya: kuna msongamano wa wagonjwa hasa akina mama wanaojifungua, kutohudumiwa kwa haraka, ukosefu wa faragha na hata vifo kutokea. Mwanahabari wetu, Rosa Agutu amefanya uchunguzi na kubainisha uozo wenyewe katika Podcast hii.
RELATED EPISODES
The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
Share this episode
Kijiji Cha Walemavu | Kisa Changu Podcast
Kijijini Namawanga, kilichoko eneo la Busunu Kaunti ya Bungoma kuna takriban familia 27 hivi. Kisic...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!