Kisa Changu Podcast: Mpenzi alinitoroka nilipougua saratani

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Jane Chepchumba mwenye umri wa miaka 32, ni mama wa mtoto mmoja. Chepchumba alianza kuugua saratani ya tumbo mwaka 2012 akiwa katika chuo kikuu. Anasema alipoanza kutibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Moi Mjini Eldoret madaktari walimweleza kwamba huenda asiweze kupata watoto siku za usoni kutokana na athari za saratani. Anasema mpenziwe aliyekuwa naye alivunjwa moyo na hilo na kumwacha. Anasema baada ya zaidi ya miaka mitano ya matibabu ya Chemotherapy, mwaka 2016 madaktari walimfahamisha kuwa hana saratani tena. Baadaye alifanikiwa kupata mpenzi mwingine ambaye alijaliwa naye mtoto mwaka 2019, ila naye akatoweka. Jepchumba anasema furaha yaka sasa ni mwanawe. Sikiliza masmulizi ya safari ya Jepchumba katika makala haya ya Kisa Changu Podcast.

Share this episode
Ruto's first day in office
President William Ruto has approved and sworn in 6 judges rejected by immediate former President Uhu...
The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...
.
RECOMMENDED NEWS