Kisa Changu Podcast: Kwa nini niliamua kutumia Facebook kumtafuta mtu anipe figo: Eunice Rop -Sehemu ya Kwanza
Kisa Changu
Mar. 13, 2022
Eunice Rop mkazi wa Nandi Hills alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2011 ambapo alikuwa akitibiwa katika hospitali moja bila mafanikio. Mwaka 2013 alitafuta huduma za matibabu katika hospitali moja mjini Eldoret ambapo ilibainika kuwa alikuwa na matatizo ya figo na kuanza matibabu Mwaka 2015 ndugu zake 2 waljitoleakupata figo nyingine lakini walipofanyika uchunguzi ikagunduliwa wao pia walikuwa na matatizo ya figo. Baada ya miaka 7 ya matibabu ya figo, mwaka 2019 Mei, Eunice aliamua kutumia mtandao wa Facebook kumtafuta mtu yeyote ambaye angemsaidia kupata figo nyingine. Je, alifanikiwa? Sikiliza masimulizi ya Eunice na Faith Kutere katika sehemu ya kwanza ya makala yafuatayo.
RELATED EPISODES
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Familia zatafuta wapendwa wao, Kilifi | Kisa Changu Podcast
Ruto's first day in office
President William Ruto has approved and sworn in 6 judges rejected by immediate former President Uhu...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!