Kisa Changu Podcast: Watoto wa Marehemu Isaac Juma Walilia Haki
Kisa Changu
Feb. 20, 2022
Isaac Juma alikuwa shabiki sugu wa kandanda nchini. Alijijengea jina kwa kuhudhuria na kushabikia Timu ya Kitaifa ya Harambee Stars na ile ya Gor Mahia akiwa amejichora mwili wote kutumia rangi za bendera ya Kenya. Katika Spoti, Juma alikuwa na wafuasi waliompenda sana wakiwamo mashabiki wenzake. Ila maisha nyumbani kwake yalikuwa tofauti; mbali na kusalia maskini hohehahe licha ya umaarufu huo, ulikuwapo mzozo wa umiliki wa ardhi baina yake na dada zake. Alisema wazi kwamba maisha yake yalikuwa hatarini, huku akiomba ulinzi, lakini alipuuzwa na mwishowe akaangamizwa. Na sasa wanawe wanahofia huenda yaliyompata baba yao yakawapata pia wakitaka kuhamishwa na kupewa eneo mbadala la kuishi. Aliwaacha watoto 17.14 miongoni mwao wanazungumzia hofu waliyo nayo na mahangaiko marehemu baba yao alipitia kabla ya kifo katika masimulizi haya.
RELATED EPISODES
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Familia zatafuta wapendwa wao, Kilifi | Kisa Changu Podcast
Ruto's first day in office
President William Ruto has approved and sworn in 6 judges rejected by immediate former President Uhu...The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
In today's episode of The What's Your Story podcast, we speak with Dr. Catherine Masitsa, CEO of Sam...LATEST PODCAST
-
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
-
What The New Budget Figures Reveal About Government Austerity: Ramah Nyang
-
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
-
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
-
Soon The Political Class Will Not Be Able To Contain Kenya's Revolutions!