Episode1: Kilimo cha mahindi
Published Jan. 19, 2021
00:00
00:00

Katika sehemu ya kwanza ya Kilimo cha Mahindi, tunaangazia uandaaji wa mashamba wakati wa upanzani, Je shamba linastahili kulimwa mara ngapi, aina ya mbolea wakulima wanazoshauriwa kutumia wakati wa vuli na kilimo cha mwaka vilevile aina gani ya mbegu ya mahindi hufanya vizuri nchini