Siasa za Urithi ODM: Nani Afaa Kuvaa Kiatu cha Odinga?- SEPETUKO
Sepetuko
Mar. 13, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Hatua ya Kiongozi wa ODM kutangaza kuwania uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika AUC imeibua mjadala mkubwa kuhusu nani anafaa kuvaa kiatu chake kuongoza chama hicho? Sepetuko inakariri kauli ya muigizaji wa Marekani William Powell kuwa ''power must be taken. It is not given." Yeyote asiketi hapo na kusubiri kukabidhiwa usukani wa ODM.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode