Mgogoro wa Afya: Maisha ya Wakenya Yapo Hatarini!
Sepetuko
Apr. 02, 2024
Baada ya wiki kadhaa za mgomo wa madaktari, hali katika hospitali na vituo vya afya vya umma nchini Kenya imechukuwa sura mbaya zaidi kufuatia kujiunga kwa matabibu katika mgomo huo. Mgogoro huu umepelekea athari kubwa kwa mfumo wa afya nchini, na kusababisha ugumu mkubwa kwa wananchi wanaotegemea huduma za matibabu kutoka hospitali za umma. Sharti seriklai ifanye jambo kwa upesi mno kuokoa hali. Wakenya wanaumia!
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa