Masomo kwa Kenya Kutoka kwa Ufanisi wa Diomaye Faye, Rais Mpya Wa Senegal
Sepetuko
Apr. 03, 2024
Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ameapishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo. Faye, mwenye umri wa miaka 44 anakuwa Rais wa tano wa taifa hilo na Rais mchanga zaidi kuongoza taifa hilo la Afrika Magharibi. Ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliopita ni wa kihistoria kutokana na kuwa yeye si mtu maarufu mno katika siasa nchini humo, na aliondoka jela siku tisa tu kuelekea Uchaguzi Mkuu. Tunajifunza nini kutokana na hadithi ya ufanisi wa Faye? Kenya inaweza kujifundisha nini?
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa