Iweje Serikali Ikose Pesa Kulipa Madaktari, Lakini Iwe na za MaCAS na Ziara za Viongozi?

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Mgomo wa madaktari unapoendelea, Rais William Ruto amewarai madaktari kurejea kazini, akisema serikali haina pesa na kuwa hali ni ngumu. Sepetuko inashangaa ni vipi serikali haina pesa za kuwaajiri madaktari wanagenzi lakini ina hela za kuwaajiri maCAS na kufadhili ziara za hapa na pale za Rais na Mawaziri serikalini.

Share this episode
FRED OGOLA- CS Nakhumicha Is Not The Problem, Let's Look At The Root Cause
Welcome to the Situation Room Podcast. In this episode, we're thrilled to have Prof. Fred Ogola, Cha...
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
.
RECOMMENDED NEWS