Mafuriko Yanabainisha Udhaifu wa Serikali na Miundombinu Duni
Sepetuko
Apr. 26, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Mafuriko yanayoshuhudiwa jijini Nairobi na kote nchini yanaonesha wazi uwezo duni wa serikali kujiandaa kwa ajili ya majanga, na pia kuwepo kwa miundomsingi duni kustahimili majanga yanapotokea. Sepetuko inazirai Serikali za Kaunti na ya Kitaifa kuweka mikakati kabambe ya kujiandalia majanga kama mafuriko ili kuepusha mauti yanayoshuhudiwa.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode