Mipango ya Kupambana na Ufisadi Kutoka Fiji hadi Kenya: Kesi ya Frank Bainimarama
Sepetuko
May. 10, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Fiji Frank Bainimarama amefungwa jela kwa kuzuia uchunguzi wa ufisadi. Hapa Kenya, vita dhidi ya ufisadi havijazaa matunda aina hii, na kuibua swali la inawezekanaje kwa mwanasiasa wa haiba hii kufungwa jela. Sepetuko inakariri kuwa vita dhidi ya ufisadi haviwezekani ikiwa yetu ni kuwatetea na hata kuwachagua kwa nyadhfa za juu wanasiasa mafisadi.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode