Uongozi wa Wanawake: Kutimiza Ndoto za Uongozi wa Kike Kenya
Sepetuko
Jun. 04, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Kuchaguliwa kwa mwanamke kuwa Rais wa Mexico ni dhihirisho tosha la jinsi mtazamo wa watu unaweza kubadilika na wakaukumbatia uongozi wa wanawake. Naamini ipo siku Kenya itakuja kutimizwa ndoto hii ya wanawake wengi kuchaguliwa katika nyadhfa za uongozi. Ipo siku.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode