Hongera kwa Serikali kwa Kubadili Mwenendo na Kuwasikiliza Raia
Sepetuko
Jul. 08, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Sepetuko leo inahongera serikali kwa hatua yake ya kubadili mwenendo na kuanza kuwasikiliza raia. Ni katika kuwasikiliza raia ndipo serikali itaweza kuafiki mengi, na sio katika kuwapuuza wananchi ambao ndio wenye serikali.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Share this episode