Kisa Changu Podcast; Jinsi maisha yangu yalivyobadilika baada ya kubandikiziwa figo: Eunice Rop -Sehemu 2
Kisa Changu
Mar. 20, 2022
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye Eunice Rob alifanikiwa kumpata msamaria aliyempa figo kupitia mtandao wa Facebook. Katika sehemu hii ya pili ya mahojiano na Faith Kutere, Rob anasimulia jinsi maisha yake yamebadilika tangu alipopandikiziwa figo. Pia ana ushauri kuhusu umuhimu wa kufanyiwa ukaguzi wa kiafya mara kwa mara. Sikiliza makala yafuatayo.
RELATED EPISODES
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Familia zatafuta wapendwa wao, Kilifi | Kisa Changu Podcast
Share this episode