Kisa Changu Podcast: Wanaume wanaochapwa na wake zao wafungua roho
Kisa Changu
Feb. 06, 2022
Visa vya dhuluma za kijinsia vimekuwa zikiripotiwa humu nchini kila kukicha. Hata hivyo mara nyingi utapata kwamba wanawake ndio huwa wepesi wa kuzungumzia dhuluma hizo huku wanaume wakijificha kwa hofu ya unyanyapaa, kuchekwa, kusimangwa na kukejeliwa na wanajamii. Martin Ndiema amewahoji baadhi ya wanaume wanaopita dhuluma hizo ila wanaogopa kutafuta usaidizi. Sikiliza mahangaiko wanayopitia katika masimulizi yafuatayo.
RELATED EPISODES
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Familia zatafuta wapendwa wao, Kilifi | Kisa Changu Podcast