Ushahidi wa Kwamba Wanasiasa Ni Wale Wale
General Podcasts
Jul. 30, 2024
Hatua ya wanaODM kujumuishwa serikalini, chini ya miaka miwili tangu Uchaguzi Mkuu uliopita inatukumbusha kuwa wanasiasa ni wale wale. Cha muhimu kwao ni maslahi yao, sio ya wapigakura waliowachagua. Usidanganyike kuwa mwanasiasa anayajali maslahi yako hata chembe.
RELATED EPISODES
Why Health Insurance Matters for Kenyans