Huduma Mbovu Mama Lucy Hospital | Podcast
General Podcasts
Oct. 16, 2022
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Hospitali ya Mama Lucy, Nairobi ni kitovu cha huduma duni za afya: kuna msongamano wa wagonjwa hasa akina mama wanaojifungua, kutohudumiwa kwa haraka, ukosefu wa faragha na hata vifo kutokea. Mwanahabari wetu, Rosa Agutu amefanya uchunguzi na kubainisha uozo wenyewe katika Podcast hii.
RELATED EPISODES
The Inspiring Story Of Dr. Catherine Masitsa
The inspiring Story Of Lorna Joyce founder of Binti Pads.
Living Through the Sierra Leone Conflict: A Survivor's Story
Share this episode