Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.

Share this episode
abia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kwe...
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
.
RECOMMENDED NEWS