Vyama vya ODM na UDA vyazungumzia mikakati vinavyoweka kuelekea uchaguzi mkuu
Siasa
Feb. 16, 2022
Uchaguzi mkuu unapokaribia kila chama cha kisiasa kinaweka mikakati ya kuhakikisha mchujo utaofanyika katika chama unakuwa huru na wa haki. Mkurugenzi Mkuu katika Chama cha UDA, Odanga Pesa vilevile Cathrene Muma ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Uchaguzi ya ODM wanazungumzia mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama vyao kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
RELATED EPISODES
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1