Siasa, Kuapishwa kwa Biden
Siasa
Jan. 20, 2021
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden siku ya Jumatano atachukua rasmi hatamu za uongozi kuwa Rais wa 46 wa Marekani baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi wa Novemba tatu mwaka uliopita. Kinachosubiriwa leo hii ni namna hafla ya kumwapisha Biden itakavyofanyika ikizingatiwa tayari Rais anayeondoka, Donald Trump ameashiria kutoihudhuria. Kwenye uchambuzi huu, tunaangazia namna utawala wa Trump utakavyokumbukwa na matarajio kupitia utawala mpya wa Biden. Beatrice Maganga analichanganua suala hili.
RELATED EPISODES
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1