Je, handshake ingine ndio suluhu la Kenya?: Kulikoni Podcast

Siasa
Apr. 04, 2023

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Kenya imeshuhudia maandamano katika siku za hivi karibuni, kabla ya Rais William Ruto na kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kukubaliana kutatua mambo yaliyoibuliwa kwa majadilianao. Je, huenda Kenya inaelekea kushuhudia handshake ingine hivi karibuni ama ni maongezi tu? Kupata mengi zaidi, skiza kipindi hiki hadi mwisho. Karibu.

Share this episode
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Kenya imeshuhudia maandamano katika siku za hivi karibuni, kabla ya Rais William Ruto na kinara wa M...
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
.
RECOMMENDED NEWS