Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya
Siasa
Oct. 16, 2021
Wakenya wanatoa maoni kuhusu ahadi za Raila Odinga na William Ruto. Baadhi wanasema ahadi zao ni ndoto tu huku wengine wakiwa na matumaini kwamba watatekeleza. Aidha, Wakenya wameshabikia kuharamishwa kwa mpango wa Huduma Namba. Je, rufaa ya serikali itafaulu? Wanahabari wetu wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu masuala haya.
RELATED EPISODES
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1