Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa
Siasa
Aug. 27, 2021
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa anasema kuwa uhusiano mbaya kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto ni kutokana na siasa. Katika mahojiano na Faith Kutere, Barasa anasema hatua ya Rais kumwambia Naibu wake ajiuzulu haifai. Aidha, amepuuza uwezekano wa Ruto kuondolewa kupitia hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni.
RELATED EPISODES
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1