SIASA PODCAST: Rais kuwateua majaji 34 na kuwaacha 6 inamaanisha nini?
Siasa
Jun. 04, 2021
Baada ya kupuuza mashinikizo ya wanaharakati, wanasheria na mahakama, hatimaye Rais Uhuru Kenyatta amewateua majaji 34, huku akikosa kuwateua wengine 6. Hali hii imezidisha cheche za maneno dhidi ya Kenyatta. Je, mbona hajawateua majaji hao 6? Hatima yao ni gani? Mike Nyagwoka amelichambua suala hili kwa kina, vilevile suala la kukithiri kwa mgogoro baina ya Serikali Tendaji na Idara ya Mahakama.
RELATED EPISODES
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1