Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Makala Maalumu
Jul. 08, 2024
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Mama Abigael Chebet ni mtaalamu wa dawa za kiasili mwenye ujuzi mkubwa ulioorithishwa kwake na mama yake. Tangu alipoanza kuuza dawa zake mwenyewe mwaka 2006, amekuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Baringo. Mwandishi Shisia Wasilwa alitembelea Marigat na kutuletea hadithi yake.
Share this episode