Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Makala Maalumu
Jul. 08, 2024
Mama Abigael Chebet anafahamu dawa zote za kiasili, ujuzi aliorithishwa na mamake. Amekuwa msaada mkubwa Kwa wakazi wa Baringo tangu alipoanza kuuza dawa zenyewe mwaka 2006. Shisia Wasilwa alizuru Marigat na kutuletea kaifa yake.