Vijana na Mapenzi Podcast: Utamwambia rafiki yako iwapo mpenzi wake anakukatia?
Vijana na Mapenzi
Nov. 04, 2021
[09:19, 11/4/2021] Mungou: Mara nyingi watu wanapochumbiana, huwa kuna rafiki wa karibu anayeufahamu uhusiano huo. Hali hii huwafanya wengine kujipata katika hali ya kuanza kutongozwa na wapenzi wa marafiki zao. Iwapo utajipata katika hali hii, ni sawa kumfahamisha rafiki yako kwamba amdhaniaye ndiye kumbe siye?
RELATED EPISODES
Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.
Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
abia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast