VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Je, ni sawa kumtembelea mpenzi wako bila kumwarifu?
Vijana na Mapenzi
Oct. 21, 2021
Mara nyingi wapenzi hupenda kutia ladha katika mahusiano yao kwa kufanyiana mambo ambayo mtu hakutarajia. Kuna wale huenda kiasi cha kuwatembelea wapenzi wao bila kuwajulisha. Je, hatua hiyo inafaa ama ni lazima umjulishe mpenzi wako kwanza? Tumepata hisia za wananchi vilevile mtaalam wa masuala ya mahusiano kulihusu suala hili.
RELATED EPISODES
Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.
Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
abia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast