Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast
Gumzo na Mwanaspoti
Nov. 14, 2022
Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.
RELATED EPISODES
Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast
Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast