Maisha ni Kujipanga; mwanamke afanya kazi katika chumba cha maiti
Makala Maalumu
Jan. 27, 2021
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Katika Makala ya Maisha ni Kujipanga, Je ushawahi kuwazia kufanya kazi ya mhudumu katika hifadhi ya maiti? Mwanahabari wetu wa Bungoma, Willy Khaemba amezungumza na mwanamke ambaye kwake kazi ni kazi na aliamua kuacha kazi ya ubawabu na kuwa mhudumu katika chumba cha maiti, sikiliza.
RELATED EPISODES
Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Share this episode