Makala Maisha ni Kujipanga Trans Nzoia
Makala Maalumu
Jan. 22, 2021
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Katika awamu nyingine ya Makala ya Maisha ni Kujipanga, tunamwangazia mwanamke mmoja mkazi wa Kaunti ya Trans Nzoia ambaye hatua ya kusimamishwa kazi ya uuguzi miaka kadhaa iliyopita ilimpa changamoto ya kuyapanga maisha yake upya ili kuwalea wanawe. Mwanahabari Martin Ndiema amezungumza naye kuhusu biashara yake ya kuuza maua anayoiendeleza.
RELATED EPISODES
Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Share this episode