Makala Maalum Maisha ni Kujipanga, Nairobi
Makala Maalumu
Jan. 13, 2021
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Uagizaji wa mitumba ulipositishwa nchini Kenya kutokana na janga la korona, wafanyabiashara wa mitumba walipata pigo kuu. Hata hivyo hatimaye marufuku hiyo iliondolewa na uagizaji wa mitumba kurejelewa. Je, hali imekuwa vipi kwa wanaotengemea biashara ya mitumba? Beatrice Maganga amezungumza na mmoja wafanyabiashara hao na kuandaa makala haya.
RELATED EPISODES
Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Share this episode