Makala Maalum, Maisha ni Kujipanga Uasin Gishu
Makala Maalumu
Jan. 13, 2021
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Katika Makala Maalum, Maisha ni Kujipanga, mzee Philip Kiptui ambaye ni mfanyabiashara kwenye Kaunti ya Uasin Gishu, aliamua kujihusisha na biashara ya ufugaji wa kuku kujitafutia riziki badala ya kutegemea ajira ofisini. Mwanahabari Faith Kutere wa Uasin Gishu amezungumza naye.
RELATED EPISODES
Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Share this episode