Makala Maalum, Maisha ni Kujipanga
Makala Maalumu
Jan. 13, 2021
Your browser doesn’t support HTML5 audio
Katika Makala Maalum, Maisha ni kujipanga, mwanahabari William Omasire amezungumza na mfanyabiashara mmoja mjini Nyamira aliyeanza biashara ya utengenezaji wa simu miaka takriban kumi na sita iliyopita. Ujuzi huo aliupata kupitia mafunzo katika Shirika la Huduma za Vijana, NYS.
RELATED EPISODES
Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Kisa Cha Mama Mtaalamu wa Dawa za Kiasili Baringo
Share this episode