Episode 1- Kilimo cha Nazi

Kilimo
Jan. 26, 2021

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Katika sehemu hii ya kwanza tutaangazia, aina ya megu za nazi , jinsi ya kuandaa mbegu za mnazi, upanzi wake vilevile utunzaji wa mnazi pale shambani hadi kuvuna bidhaa mbalimbali za mnazi zikiwamo madafu, nazi, Makuti, vifuvu vya nazi na kadhalika. Pia tutaangazia aina ya mchanga ambao mnazi hufanya vizuri zaidi, kumbuka ipo dhana kwamba mnazi hufanya vizuri katika Eneo la Pwani pekee. Nimemshirikisha mtaalamu vilevile mkulima wa Mnazi katika Eneo la Pwani Bwana Emmanuel Masha kutoka Eneo la Palakumi, katika Eneo Bunge la Ganze Kaunti ya Kilifi.

Share this episode
Mateso ya Wakenya Saudia; serikali iingilie | Sepetuko
Kwa miaka mingi, Wakenya wanaokwenda Uarabuni, hasa Saudi Arabia kwa kazi za nyumbani wamekuwa wakit...
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
Who is Benni McCarthy? The new Harambee Stars Coach
.
RECOMMENDED NEWS