Episode 2- Upanzi wa mahindi
Kilimo
Jan. 26, 2021
Katika sehemu hii, tutaangazia upanzi wa mahindi, mbinu za kukabili magugu, mbinu za kuvuna mahindi, uhifadhi wa mahidi vilevile soko la mahindi nchini.